LYRICS – Rayvanny – “Woza” ft. Diamond Platnumz

Rayvanny Woza artwork
Rayvanny Woza artwork

[xyz-ihs snippet=”Rayvanny-x-Woza-ft-Diamond-Platnumz”]

Twende Twende Twende Twende apo
Twende twende twende, Ayayaya

Twende pozi Twende pozi
Twende pozi Twende pozi
Twende pozi eeeh ayayayaya

Kisigino kisigino kisigino kisigino
Gusa kisigino twende shuka shuka shukaa
Kisigino kisigino kisigino kisigino
Gusa kisigino twende shuka shuka shukaa

Be bega be bega be twende moja mbili tatu
Be bega be bega be twende moja mbili tatu

Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikitongoza dame wa mtu sio mimi ni pombe

Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikitongoza dame wa mtu sio mimi ni pombe

Ningininginia chini
Ningininginia chini
Ningininginia kama kidondoka mi simo

Ningininginia chini
Ningininginia chini
Ningininginia chini kama ukidondoka mi sim o

Mai maiko, mai maiko,
Mai maiko Wueh wueh wueh
Mai maiko, mai maiko,
Mai maiko Wueh wueh wueh

Kama una shepu matataa tikisa
Tuone io
Woza woza matataa
Chezesha tuone io
Dada una shepu matataa tikisa
Tuone io
Woza Woza matataa
Chezesha tuone io

Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikidondoka niokote sio mimi ni pombe

Nimelewa (Nimelewa)
Nimekunywa (Nimekunywa)
Nikidondoka niokote sio mimi ni pombe…

https://eo.shortlify.com/895302792

Be the first to comment

Give Feedback About This Article